Wednesday, July 24, 2013

DARIZI

kwa wale wanaenda kudalizi mabazee au aina yoyote ya kitenge mitindo hiyo au ingia kwenye hiyo blog unayoiona hapo katika picha ya hizo nguo upate kujichagulia darizi nzuri.

Wednesday, June 19, 2013

MITINDO YA NYWELE YA WATOTO WA KIKE.

Tusiwaweke watoto wetu dawa za nywele tuwatafutie mitindo mizuri ya kusuka na watapendeza tu .



Wednesday, May 29, 2013

MWANAMKE KIREMBA.

mwanamke uremba ukiupatia mfungo mzuri utapendeza sana haya kama una tenge tupia kichwani uwe tofauti kila siku ma weaving tu leo jaribu remba la kitenge.











AFRICAN FASHION

kwa wale ambao wanavitenge ila mishono inawapa tabu kuchagua ingia humu kila siku ujipatie aina mbalimbali za mishono ya vitenge kwa wembamba na wanene .