Thursday, February 28, 2013

JIPATIE MSHONO WA KITENGE

kila siku tunapendelea kushona sketi ,badilisha kidogo na suruali ya kitenge pia yapendeza mwilini na kuchanganya vitenge inaleta rangi nzuri sana .











NJIA FUPI YA RAHISI YA UPAKAJI WA MAKEUP.

picha ya 1 ni concealer hiyo unaipaka usoni huku ukizungurushia kwenye weusi wa machoni na ule wa madoa ya chunusi .
picha ya 2 ni foundation hiyo unaipaka uso wote hii inaziba zile alama nyeusi na kuonekana una rangi moja bila madoa kuonekana.
picha ya 3 ni powder tumia brush kupaka powder yako utapata muonekano mzuri
hakikisha unachagua makeup inayoendana na ngozi yako maana wengine huwa wanakosea makeup ya mweupe anapaka mweusi na ukiwa wapaka makeup unatazama na shingo yako kama rangi ya usoni na shingoni ni sawa.wengine wanakoleza makeup usoni wanasahau shingo zao.





KUPAKA MAKEUP

tunakawaida ya kupaka powder tu wakati wengine tunamadoa ya chunusi usoni sasa ili kuyaficha madoa ya chunusi jifunze kupaka makeup yako na kuonekana huna madoa kama warembo hao.





KUREMBESHA JICHO

mwanamke jicho ili upendezeshe jicho lako kwa upakaji wa rangi za machoni fata step paka rangi uipendayo sio kupaka mirangi mingi bila mpangilio.

MTANDIO (Scarf)

mtandio una aina nyingi za kuvaa ili uweke mtandio wako vizuri kwa mtindo wa kupendeza fata step hapo .

KUPAKA MAKEUP

huo muonekano wa jinsi ya kuji makeup hapo kwenye brown koleza makeup yako izo sehemu zilizo fifia weka makeup kwa mbali ili upate mvuto na ukipaka ivyo utapendeza sana.

MITINDO YA KUSUKA WADADA

kila siku inakuja mitindo ya nywele mipya jaribu kusuka style mbalimbali upate kuonekana tofauti.







BRUSH

kila brush ina matumizi yake na huo ndio muonekano wa jinsi ya kutumia brush sehemu husika.

LIPSTICK

jinsi ya kupaka lipstick ikae muda mrefu mdomoni fata maelekezo hayo.

Thursday, February 21, 2013

KITENGE / WAX print PEPLUM.

wakina mama na wadada mnaopenda mishono ya vitenge,peplum mshono huo unawafaa wamama na wadada wanene na wembamba na wale wenye vitambi kwa mbali mshono huo huficha tumbo kabisa jaribu kushona hutajutia.















CASUAL WEAR

jipangilie kwa kuvaa casual wear kuliko kuchanganya rangi za nguo zako bila mpangilio mzuri ukitana uonekane na mvuto zaidi jipangilie kimavazi.





Wednesday, February 20, 2013