Wednesday, June 19, 2013

MITINDO YA NYWELE YA WATOTO WA KIKE.

Tusiwaweke watoto wetu dawa za nywele tuwatafutie mitindo mizuri ya kusuka na watapendeza tu .



Wednesday, May 29, 2013

MWANAMKE KIREMBA.

mwanamke uremba ukiupatia mfungo mzuri utapendeza sana haya kama una tenge tupia kichwani uwe tofauti kila siku ma weaving tu leo jaribu remba la kitenge.











AFRICAN FASHION

kwa wale ambao wanavitenge ila mishono inawapa tabu kuchagua ingia humu kila siku ujipatie aina mbalimbali za mishono ya vitenge kwa wembamba na wanene .









Saturday, May 25, 2013

POCHI ZA KITENGE

pata muonekano mpya kwa kubadili pochi zako na hizi ukibeba ni nzuri sana .







VIATU

Haya ndio mambo ya kwenda na wakati jaribu isikupite fashion hii ya kiatu.