Thursday, February 28, 2013

NJIA FUPI YA RAHISI YA UPAKAJI WA MAKEUP.

picha ya 1 ni concealer hiyo unaipaka usoni huku ukizungurushia kwenye weusi wa machoni na ule wa madoa ya chunusi .
picha ya 2 ni foundation hiyo unaipaka uso wote hii inaziba zile alama nyeusi na kuonekana una rangi moja bila madoa kuonekana.
picha ya 3 ni powder tumia brush kupaka powder yako utapata muonekano mzuri
hakikisha unachagua makeup inayoendana na ngozi yako maana wengine huwa wanakosea makeup ya mweupe anapaka mweusi na ukiwa wapaka makeup unatazama na shingo yako kama rangi ya usoni na shingoni ni sawa.wengine wanakoleza makeup usoni wanasahau shingo zao.





No comments:

Post a Comment