hii ni aina ya kitambaa kiko kama kitenge cha watu wa ghana,ni nguo ya utamaduni wa ghana na hupendelea zaidi kuvaa kwenye shughuli za maharusi na misibani na sherehe mbalimbali .na pia inaweza ikatengenezewa bidhaa kama mito ,viatu na kila mtu atakaevaa aina hii ya kente inampendeza.
No comments:
Post a Comment