ukiingia ndani ya blog yangu hutajutia napenda sana kuweka mishono ya kiafrika najua utavutiwa nayo nakujichagulia mshono humo. na tupende bidhaa zinazotengenezwa na wa tanzania wenzetu kama bangili na hereni viatu tupende utamaduni wetu sio kila siku kuvaa vitu toka nje.
No comments:
Post a Comment