pazia ni pambo pia la nyumba na ukiliweka kwa mpangilio nyumba yako itaonekana na mpango mzuri sasa hapa ujue rangi uipendayo ambayo itashahabiana labda na viti au kapeti zetu isiwe rangi ambazo aziendani hapo nyumbani kwako utapoteza maana halisi ya pazia lako.angalia mfano na uwekaji wa hizo pazia.
No comments:
Post a Comment