kwa bongo na jua letu linavyochoma ,ukikutana na machinga anauza miwani jichukulie itakupunguzia hilo jua lisikuchome huko machoni na pia ukivaa miwani utapendeza sio kuzuia jua tu na kuna watu wanakosea miwani ya jua wanavaa hadi usiku ipo ya usiku tusigeze kwa kuona star kavaa.
No comments:
Post a Comment